Wednesday, August 19, 2015

Kazi za Skuvi 141

Tumepokea maombi ya wateja wengi wakihitaji kujua iwapo Skuvi 141 tunaweza kufanya shughuli nyingine tofauti na kutengeneza vitanda, hapa chini nimekuandikia baadhi shughuli ambazo zinafanyika ndani ya Mr.Oil Skuvi ltd
1. Kutengeneza Madawati
2.Viti
3. Meza
4.Viti vya kwenye bustani
5. Vitanda vya kawaida
6. Vitanda vya kubebana
7.Meza za vyakula
8. Stendi ya mishumaa
9.Stendi ya keki
10. stendi ya viatu
11. Stendi ya wine
12. kutengeneza mageti
13. Kunyoosha magari
14. kupulizia rangi magari
na vingine vinavyoendana na hivyo karibu sana huduma zetu ni za kuaminika na za uhakika, usifanye kazi na makanjanja karibu Mr. Oil Skuvi 141 Company ltd,Kawe karibu na Tanganyika peakers kituo cha msaada Msonge. au piga 0713218932.

Wednesday, July 29, 2015

Nyingine tena kutoka Mr. Oil Skuvi





 Karibuni sana tunapatikana Kawe kituo cha msaada Msonge,gharama zetu ni nafuu ukilinganisha na kazi zetu karibuni sana.

Wednesday, July 22, 2015

Pita ujionee bidhaa zetu nyingi kikiwemo na kitanda pendwa (Mkonga wa Tembo)

Vitanda vikiwa pamoja na stendi za kuwekea neti vikiwa vimemaliza hatua ya rangi vikikauka maalum kabisa kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja.


Hakikisha kila bidhaa unayonunua kutoka kwetu inaalama hii, kama bidhaa zako hazina alama hii hapo  itakuwa haukufanya kazi na sisi,epuka matapeli tumia bidhaa zenye ubora.


Baadhi ya vitanda vikiwa vinakauka ili kupelekwa mahala husika.


Mkonga wa tembo kikiwa kinakauka maalum kwa ajili ya safari ya kwenda kwa mteja



Stendi za kutundikia mabegi tayari kabisa kwa safari ya kuelekea kwa mteja

Geti la kuslide likiwa tayari kabisa, Toa oda yako sasa ili na wewe ujipatie bidhaa bora kutoka Mr. Oil Skuvi 141 Limited. Tunapatikana Kawe karibu na kituo cha msaada (Msonge).Mawasiliano 0713218932.

Saturday, July 4, 2015

Bei na Dizaini mpya za bidhaa kutoka Skuvi



Ukubwa wake ni 6x6 
Gharama yake ni Tshs 450,000/= kitanda peke yake
Gharama yake niTshs 850,000/= pamoja na Godoro la Spring.





Gharama yake ni Tshs 490,000/= Bila Godoro
Gharama yake ni Tshs. 870,000/= Kikiwa na magodoro ya kawaida

.Gharama yake ni Tshs. 250,000/=

Gharama yake ni  Tshs. 380,000/=



Kwa bidhaa kama hizo na nyingine nyingi za madini ya chuma usisite kututafuta kupitia

Blog: www.skuvi141.blogspot.com
Facebook: Mr. oil skuvi 141
Instagram:skuvi lmtd
Simu: 0713 218 932

Tahadhari : Kumekuwa na watu wengi wanaojitangaza kufanya shughuli kama zetu na wengine hata kutumia baadhi ya picha zetu kuonyesha kazi zao,tafadhali ili kufanya kazi na Skuvi tumia mawasiliano wekwa hapo juu tu. tofauti na hapo huyo ni tapeli asante.

Thursday, July 2, 2015

Nyingine bora kutoka Skuvi

Jipatie sasa bidhaa hii bora kabisa iliyosanifiwa na kuboreshwa zaidi kwa kuendana na mahitaji yako kwa kiasi cha Tshs. 380,000 tu. Karibu sana. mawasiliano yetu ni 0713 218 932

Mr. Oil Skuvi 141 Ltd

Jina: Mr. Oil Skuvi 141 Ltd
Shughuli: Kudizaini,Kutengeneza na kufikisha bishaa za chuma kama vitanda,Kabati,Geti,Dressing table,Stendi ya viatu, Madawati n.k
Eneo: Kawe (Maringo) karibu na Viwanja vya Tanganyika Peakers
Mawasiliano: O713 218 932
Blog: www.skuvi141.blogspot.com
Facebook account: skuvi lmtd
Facebook page: Mr. Oil Skuvi lmtd
Instagram: Skuvi lmtd
Pinterest: Skuvi lmtd


Karibuni sana

Fanya kazi na kampuni makini ili upate bidhaa makini.

Wednesday, May 6, 2015

Chagua kwa ajili yako

Utengenezaji wa bidhaa yoyote unahitaji sana umakini,ujuzi,heshima,ubora na mengine mengi ya kada hiyo lakini kubwa kuliko yote ni kuyafikia matarajio ya mteja wako. Kwetu Mr. Oil Skuvi 141 hilo tumelipa kipaumbele na chini hapa ni baadhi ya matarajio ya wateja tuliyo yafikia.Karibu na wewe upate huduma bora na ufurahie ofa zetu kibao.




Hivi ni baadhi tu lakini ukitanda kwenda na trend ya sasa hiki ndio kitanda pendwa ndani ya siku 10 utakuwa umekipata kama uko DSM (KM 20 kutoka Kawe) tutakutengenezea,kuletea na kukufungia.


Karibu sasa ujipatie bidhaa za bora kabisa kutoak kwetu.