Wednesday, July 22, 2015

Pita ujionee bidhaa zetu nyingi kikiwemo na kitanda pendwa (Mkonga wa Tembo)

Vitanda vikiwa pamoja na stendi za kuwekea neti vikiwa vimemaliza hatua ya rangi vikikauka maalum kabisa kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja.


Hakikisha kila bidhaa unayonunua kutoka kwetu inaalama hii, kama bidhaa zako hazina alama hii hapo  itakuwa haukufanya kazi na sisi,epuka matapeli tumia bidhaa zenye ubora.


Baadhi ya vitanda vikiwa vinakauka ili kupelekwa mahala husika.


Mkonga wa tembo kikiwa kinakauka maalum kwa ajili ya safari ya kwenda kwa mteja



Stendi za kutundikia mabegi tayari kabisa kwa safari ya kuelekea kwa mteja

Geti la kuslide likiwa tayari kabisa, Toa oda yako sasa ili na wewe ujipatie bidhaa bora kutoka Mr. Oil Skuvi 141 Limited. Tunapatikana Kawe karibu na kituo cha msaada (Msonge).Mawasiliano 0713218932.

No comments:

Post a Comment