Wednesday, May 6, 2015

Chagua kwa ajili yako

Utengenezaji wa bidhaa yoyote unahitaji sana umakini,ujuzi,heshima,ubora na mengine mengi ya kada hiyo lakini kubwa kuliko yote ni kuyafikia matarajio ya mteja wako. Kwetu Mr. Oil Skuvi 141 hilo tumelipa kipaumbele na chini hapa ni baadhi ya matarajio ya wateja tuliyo yafikia.Karibu na wewe upate huduma bora na ufurahie ofa zetu kibao.




Hivi ni baadhi tu lakini ukitanda kwenda na trend ya sasa hiki ndio kitanda pendwa ndani ya siku 10 utakuwa umekipata kama uko DSM (KM 20 kutoka Kawe) tutakutengenezea,kuletea na kukufungia.


Karibu sasa ujipatie bidhaa za bora kabisa kutoak kwetu.

Sunday, May 3, 2015

Hii ni mpya kwa ajili yako.


Hii ni mpya kuto Mr. Oil Skuvi 141 sasa tunatengeneza na kufikisha , kwa kila bidhaa utakayotengeneza na sisi  sasa tunatoa huduma ya kufikisha hadi nyumbani na kufunga. Hii ni mpya na ni faida  kwako pokea bidhaa yako ikiwa imetunzwa na kufikishwa kama ilivyotengenezwa tofauti na ukitengenezewa bila kuletewa nyumbani. Gharama zitaongezeka na usalama utapungua .Karibu sasa huduma hii inapatikana ndani ya KM 20 kutoka ofisini kwetu Kawe.

Karibuni sana.Gharama zetu na huduma zetu ni nafuu sana ukilinganisha na bei ya soko.